Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 266
- 300
Asante sana mkuu hivi apo ni kama umbali gani kutoka ifakara hadi malinyi.Hongera sana kwa kuanza na wazo chanja mwaka 2020. Nakushauri iwapo una nafasi ama msimamizi mzuri, nenda morogoro Sumatra ukate route ya Ifakara - Malinyi ina biashara nzuri kwa hiace
Umbali wa Ifakara - Malinyi ni kilomita 151. Unatoka Malinyi asubuhi, kuanzia saa 6 mchana unaanza kugeuza na kulala MalinyiAsante sana mkuu hivi apo ni kama umbali gani kutoka ifakara hadi malinyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lami?Umbali wa Ifakara - Malinyi ni kilomita 151. Unatoka Malinyi asubuhi, kuanzia saa 6 mchana unaanza kugeuza na kulala Malinyi
Sawa sawa mkuuUmbali wa Ifakara - Malinyi ni kilomita 151. Unatoka Malinyi asubuhi, kuanzia saa 6 mchana unaanza kugeuza na kulala Malinyi