Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Nov 17, 2021 #21 juma mpemba said: Unakua husahau vitu....wa Israel huwa wanawapaka mafuta kichwani watoto..nichanzo kimojawapo ya kutunza kumbukumbu Click to expand... Ngoja nizidishe dozi😃, hua napaka kila nikiosha nywele.
juma mpemba said: Unakua husahau vitu....wa Israel huwa wanawapaka mafuta kichwani watoto..nichanzo kimojawapo ya kutunza kumbukumbu Click to expand... Ngoja nizidishe dozi😃, hua napaka kila nikiosha nywele.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Nov 17, 2021 #22 Lenie said: Ngoja nizidishe dozi😃, hua napaka kila nikiosha nywele. Click to expand... Angalia kumbukumbu ikijaa nalo ni tatizo lingine...
Lenie said: Ngoja nizidishe dozi😃, hua napaka kila nikiosha nywele. Click to expand... Angalia kumbukumbu ikijaa nalo ni tatizo lingine...
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Nov 17, 2021 #23 stephot said: Angalia kumbukumbu ikijaa nalo ni tatizo lingine... Click to expand... Hahaaa shida nayo hiyo, nitaweka kwa kiasi
stephot said: Angalia kumbukumbu ikijaa nalo ni tatizo lingine... Click to expand... Hahaaa shida nayo hiyo, nitaweka kwa kiasi