Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Ninaomba kwa mlioko Mbeya jiji nielekezeni mahali ninaweza kuipata mbegu ya Azolla.

Nataka nijaribu kuotesha kwa ajili ya kuku na bata.

Nimeambatanisha na picha ya mmea wenyewe!👇👇

IMG_20220619_182157.JPG
IMG_20220619_182157.JPG
 
Naomba mwenye mbegu ya Azzolla tuwasiliane hasa kwa mlioko Iringa Au Mbeya nazihitaji sana.Picha yake ni hii chino👇👇
 

Attachments

  • IMG_20220619_182157.JPG
    IMG_20220619_182157.JPG
    50.7 KB · Views: 23
Mazao ni mengi na mengine sikuwahi kuyasikoa
 
Back
Top Bottom