stevenkatalas
Member
- May 24, 2022
- 47
- 31
Nenda kausha DamuHabari wakuu,nahitaji mkopo wa haraka nina shida na hela kama mil 1.2 mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hvyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess,nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa haraka asante kwa ushauri
Nauguza mkuuKama hiyo shida haiwezi kuondoa uhai kaa Kwa kutulia mikopo itafanya maisha yako yawe magumu Sana,na ukishakuwa addicted ndo umekwisha kabisa!
Bank wameniamnia mpaka nimalize mwakaNenda bank mkuu unachukua tena kiasi cha kutosha tuu kulingana na mshahara wako, ila muda wake hautozidi mwaka mmoja. Ukishatibitishwa kazini ndo unaweza kuchukua zaidi ya mwaka mmoja. Wala usiangaike na kausha damu
Yeah halafu nahitaji mkopo mdogo tuUmepanga malengo sahihi ya kukopa usije harbu mfumo mzma wa kipato chako
Uwe makn , nenda ata kwa kausha damu , ila kipnd hiki cha mfumo sio rahisi usaidike , labda useme na HR aptshe nje ya mfumo + afisa mkopo wa Bank.Yeah halafu nahitaji mkopo mdogo tu