Nawezaje kupata mkopo wa milion 1.5?

Nawezaje kupata mkopo wa milion 1.5?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Nataka kuendeleza biashara yangu ya studio. Plan ni kununua camera na printer machine.
 
Unahistoria gani ya kurudisha mikopo?
ndo kwanza nimeanza ila nilikuwa nakopaga tu kwa watu wa kawaida na narudisha ila sijawahi kopa zaidi ya laki tatu
 
Nataka kuendeleza biashara yangu ya studio. Plan ni kununua camera na printer machine.
Hiyo hela itaishia kwenye Camera tu tena kwa kujitahidi sana Mkuu. Ila kama unahitaji huo mkopo nakushauri kautafute kwa mtu binafsi na sio taasisi maana ukizingua hawatacheka na wewe.
 
Back
Top Bottom