YONASHA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 504
- 1,167
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mimi ni kijana niliyehitimu masomo ya udaktari wa binadamu(MD) mwaka 2021 kutoka chuo fulani nchini Tamzania, nilifanikiwa kufanya Mafunzo ya utarajari pia katika hospital fulani mkoani, nilipomaliza nikafanikiwa kufanya mtihani wa lesseni na kupata lesseni yangu ya kufanya kazi kama daktari daraja la pili (General practioner), baada ya hapo nikapata kazi ya kufundisha wanafunzi wa udaktari ngazi ya diploma (Clinical medicine) katika taasisi fulani ya binafsi iko mkoani Arusha.
Shida yangu ninatamani kwenda kusoma masters ili angalau nipate nafasi ya kuongeza ujuzi lakini pia niweze kupanua wigo kimapato.
Wakuu kila nikiangalia scholarships nyingi zinatolewa kwa kada zingine nyingi…ila za mambo ya afya ni ngumu kuziona na pia hata kama ntaona zinakuwa sio za udaktari wa binadamu moja kwa moja ( yaani Md kwenda Mmed).
Naomba mwenye ujuzi au connection na hili anipe muongozo nami niweze kuomba hizo nafasi… na sio lazima iwe nje ya nchi, hata kama ni ndani ya nchi ninaweza kusoma.
Nitafurahi kama nitapata MMED ya orthopedics and traumatology, General surgery, obstretics and gynecology.
Nia ni kuwasaidia watanzania na kujiongezea kipato pia.
Natanguliza shukurani.