Nawezaje kupata tin namba ambayo nilisajili mtandaoni na sikuipakua

Ridomil gold

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
2,790
Reaction score
2,232
Kama kichwa kinavyosema waku nilijisajili online TIN NAMBA ila siku ipakuwa ssa nimesahau namba zake na ninataka kuanza kuitumia ila nimesahu msaada wenu wakuuu maaana niko nje sana kwenda hadi TRA NI MBALI SANA naomba kma namba za TRA WANAZOPOKEA NAOMBA NIPATE MSAAADA.

AU KMA WATU WA TRA WATAPITA HUKU MSAAADA PIA ASANTE
 
Piga simu TRA wanakutajia ila uwe na namba ya nida
 
Piga simu TRA wanakutajia ila uwe na namba ya nida
Simu nayo piga haipokelewi nimeanza nina wiki 2 ssa ila haijawahi kupokelewa kma namba inayoppkelewa ipo tafadhali sana naiomba mkuuu nahitaji kuitumia nitashukuru kwa ushirikiano
 
Nenda pale online ingiza namba ya nida itakuletea TIN yako
 
Mkuuu si password ni TIN NAMBA NDIO NIMESAHAU NA SIKUIPAKUWA MKUU
 
Ndiyo unaweza. Ingia kwenye website ya TRA.

Nenda, Taxpayer portal (Online Services)

Kisha nenda, Services

Kisha, apply for TIN

.Then, Individual registration, chagua kwa kuweka NIDA number yako pamoja na namba ya simu. Ukiweka tu watakuproccess alafu watakuambia tumia TIN yako namba fulani.

Unaweza pia kutumia option ya kulog in, watakuonyesha TIN yako
 
1. Nenda physically ofisini kwako
2. Piga simu yao (fuata maelekezo)
3. Ingiza namba za NIDA TIN online

*Hakuna kitu kinaitwa TIN NAMBA,ni TIN. Hiyo N inasimama badala ya Namba (number)
Izitkliasofa?
 
Simu nayo piga haipokelewi nimeanza nina wiki 2 ssa ila haijawahi kupokelewa kma namba inayoppkelewa ipo tafadhali sana naiomba mkuuu nahitaji kuitumia nitashukuru kwa ushirikiano
0800 750 075

0800 780 078

0800 110 016
Piga kuanzia jumatatu hadi ijumaa tu.
 
Zingatia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…