Nawezaje Kupata Ufadhili wa Masomo ya Chuo?

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
152
Reaction score
196
Wakuu Nilisikia Kuna Channel na Procedure za kufuata kama Mtu Huna Pesa ya Ada na Serikali Inaweza Kukusomesha.

Ila Sasa Sijapata Kujua Exactly Ninawezaje Kupata Nafasi hii. Hasa katika ngazi ya Diploma au Certificate?
 
Sijajua jinsia gani ila kuna shirika linaitwa "help to help" kwanzia certificate hadi degree....
 
Wakuu Nilisikia Kuna Channel na Procedure za kufuata kama Mtu Huna Pesa ya Ada na Serikali Inaweza Kukusomesha.

Ila Sasa Sijapata Kujua Exactly Ninawezaje Kupata Nafasi hii. Hasa katika ngazi ya Diploma au Certificate?
Tafuta kanisa la KKKT ambalo unaona lipo vizuri financially...you can research it...nenda pale kawaeleze kua una ndoto za kusoma na waambie unaomba wakusaidie utimize ndoto zako...
NIMEJIKUTA NIMEWAZA IVYO TU,

For sure nipo hapa nangojea mrejesho wako.....
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
#ASAP
 
Nadra sana hizo vitu enewei matokeo yana matter sana kupata hio ofa nenda advance
 
Ahsante Mkuu. Naamini katika makanisa wapo Watu wengi wenye Upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ