Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato.

Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato.

Gift1

Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
14
Reaction score
11
Habari ya kazi wapambanaji wenzangu
Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato katika mkoa niliopo kwani wengi hupotelewa na simu na kushindwa kuzipata hata wakienda polisi
 
Basi kusingekuwa na haja wizi dhambi, Polisi, Mahakama na jela. Ukigundua kuikamata simu iliyoibiwa utawafunza wezi wafiche zaidi mpaka ukose ili ujifunze hatimaye ushindwe, kote wizi upo mpaka shetani aamue
 
M

Hakuna kitu kama hicho kwenye maswala ya technology ya mawasiliano cha zaidi itapunguza wizi kwa wezi kuhofia kukamatwa
 
Back
Top Bottom