Habari ya kazi wapambanaji wenzangu
Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato katika mkoa niliopo kwani wengi hupotelewa na simu na kushindwa kuzipata hata wakienda polisi
Basi kusingekuwa na haja wizi dhambi, Polisi, Mahakama na jela. Ukigundua kuikamata simu iliyoibiwa utawafunza wezi wafiche zaidi mpaka ukose ili ujifunze hatimaye ushindwe, kote wizi upo mpaka shetani aamue