Nawezaje kupata uwakala wa gesi za kupikia?

Nawezaje kupata uwakala wa gesi za kupikia?

Omujuni

New Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Habarini za muda huu wadau wa Jamii Forums.

Ninatamani kuanza biashara ya kuuza gesi za kupikia nawezaje kupata uwakala wa haya makampuni ya gesi na vigezo vipi vinahitajika!?
 
Vigezo ni pesa yako tu. Ukiona gari la gas linapita wasimamishe waambie unahitaji gas watakuuzia.
 
Nenda kwa Duka wanapouza Mitungi ya Gesi unaloona popote unapopita muombe taarifa atakupa tu.
 
Back
Top Bottom