DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Upo wapi MkuuKuna wazo la kibiashara nalifanyia kazi ila mtaji umebana sana. Najaribu kubuni mbinu ninazoweza kutumia ili nianze tu na chochote nilichonacho huku nikiboresha kwa jinsi ninavyosogea.
Ningependa kujua ni utaratibu gani wa kuchukua ili kupata viti, meza, miamvuli na labda hata jokofu za Coca-Cola bila gharama yoyote.
Nadhani kama sikosei watakuwa wana utaratibu fulani wa kutoa vitu hivyo kama njia ya kujitangaza.
Natanguliza shukrani.
Upo wapi Mkuu
Nenda kwa wakala mkuu wa coca mkoani mwako, kaone masharti ya kuweza kupewa hivyo vitu, ila Pepsi fasta unavipata kutokana na kununua creti kadhaa za soda kwao wanakupelekea kwa usafiri wao. Maana wamepata mteja mkubwa kwa hiyo lazima wakurinde usipotee kwa maofa ya fridge meza na viti kutokana na eneo lako la biashara