Nawezaje kupika chapti za kufungia sambusa

Nawezaje kupika chapti za kufungia sambusa

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
830
Reaction score
1,223
Naomba maelezo ya kutengeneza zile chapati za kufungia sambusa,

Ni kwamba hiyo kitu nilikuwa nikijua siku nyingi zilizopita nikiwa bado kijana enzi hizo nipo hapo Pwani ya Tanzania, kwa sasa nipo huku bara miaka kadhaa nimesha sahau! ila zile process nyingine za kusaga nyama mixer na vitunguu maji, kuzifunga na kuzichoma/kukaanga bado nazikumbuka.

Bila shaka wajuzi wengi mmo humu tukumbushane pls!
 
Subiri nkutumie link kusema ukweli mie sijawahi kutengeneza nyumbani process ni ndefu nanunua za ready made
 
Back
Top Bottom