Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba
Kailima ni mtu asiyeaminika na amewahi kutumika mara kadhaa na ccm kwenye masuala ya Uchaguzi na kuchangia kuvuruga amani, hakuna asiyelijua hili.
Mtu kama huyu anawezaje kuaminiwa na Simba?
Ifike mahali viongozi wa soka wajaribu kuwaheshimu wananchi wengine ili kuepuka lawama, Kailima hawezi kusaidia simba , hii ni kwa sababu michuano ya Caf haisimamiwi na Tume ya Uchaguzi, hatoweza kupora ushindi , kumteua mtu huyu ni sawa na kujitafutia laana