Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe jamaa una chuki kali sana na watu. Yaani hapo unataka kumpinga Kailima kwa sababu alikuwa msimamizi wa uchaguzi ambao chama chako kilipoteza. Chuki za kisiasa unaziamishia kwenye masuala ya mpira.Mimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba...
Mwanakitengo mzuri aliovuruga uchaguzi yeye na jpm, hii nchi wajinga mmejaa sana hawa kitengo wanaovaa sare za kijani ni uselessMpuuzi huyo dada,ana chuki Sana,tumwambie tu kailima ni mwana kitengo nguli na ameteuliwa Simba,akalie na lisu ufipa
Chuki za kisiasa ziacheni kwenye siasa zenu za hovyo huko, hazina uhusiano wowote na masuala ya Bodi ya Simba.Mwanakitengo mzuri aliovuruga uchaguzi yeye na jpm, hii nchi wajinga mmejaa sana hawa kitengo wanaovaa sare za kijani ni useless
Unataka nchi wapewe wapayukaji,wasokua hata na adabu ya kauli!?..never,chama chenyewe kikoba Cha mtu na baba mkwe wakeMwanakitengo mzuri aliovuruga uchaguzi yeye na jpm, hii nchi wajinga mmejaa sana hawa kitengo wanaovaa sare za kijani ni useless
Tutahakikisha kailima anang'oka kwa udi na uvumba, huyu ni chukizo kwa Mungu, hatutakuwa na kolabo na watu wa nmna hii, Simba haiwezi kubeba wasiobebeka, siku utasikia Dr Mahera Mwenyekiti wa SimbaWewe jamaa una chuki kali sana na watu. Yaani hapo unataka kumpinga Kailima kwa sababu alikuwa msimamizi wa uchaguzi ambao chama chako kilipoteza. Chuki za kisiasa unaziamishia kwenye masuala ya mpira.
Acha roho mbaya, siyo kila watu wanajali kuhusu hizo chuki zenu za kisiasa.
Tuachieni mpira wetuMambo ya siasa hayana nafasi kwenye mpira.
Kama ni hivyo ata kule bungeni wabunge wasingekuwa wanajichanganya na kuunda timu zao za michezo. Acha michezo ichukue nafasi yake
Atang’oka kama itaonekana hana sifa zinazohitajika ila siyo kwa chuki zako za kisiasa.Tutahakikisha kailima anang'oka kwa udi na uvumba, huyu ni chukizo kwa Mungu, hatutakuwa na kolabo na watu wa nmna hii, Simba haiwezi kubeba wasiobebeka, siku utasikia Dr Mahera Mwenyekiti wa Simba
Lazima Mamluki wapingwe kwa nguvu zote
Mashabiki wa Simba hawana sauti na Ndiyo maana wanaitwa mbumbumbuMimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba
Kailima ni mtu asiyeaminika na amewahi kutumika mara kadhaa na ccm kwenye masuala ya Uchaguzi na kuchangia kuvuruga amani, hakuna asiyelijua hili.
Mtu kama huyu anawezaje kuaminiwa na Simba?
Ifike mahali viongozi wa soka wajaribu kuwaheshimu wananchi wengine ili kuepuka lawama, Kailima hawezi kusaidia simba , hii ni kwa sababu michuano ya Caf haisimamiwi na Tume ya Uchaguzi, hatoweza kupora ushindi , kumteua mtu huyu ni sawa na kujitafutia laana
Rejelea katiba inasemaje?Mimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba
Kailima ni mtu asiyeaminika na amewahi kutumika mara kadhaa na ccm kwenye masuala ya Uchaguzi na kuchangia kuvuruga amani, hakuna asiyelijua hili.
Mtu kama huyu anawezaje kuaminiwa na Simba?
Ifike mahali viongozi wa soka wajaribu kuwaheshimu wananchi wengine ili kuepuka lawama, Kailima hawezi kusaidia simba , hii ni kwa sababu michuano ya Caf haisimamiwi na Tume ya Uchaguzi, hatoweza kupora ushindi , kumteua mtu huyu ni sawa na kujitafutia laana
Kamanda umeona umpinge huyo Kailima, kwa sababu tu ya itikadi zenu za kisiasa!! Mbona hukumpinga Manzoki siku ile ya uchaguzi wenu?Mimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba
Kailima ni mtu asiyeaminika na amewahi kutumika mara kadhaa na ccm kwenye masuala ya Uchaguzi na kuchangia kuvuruga amani, hakuna asiyelijua hili.
Mtu kama huyu anawezaje kuaminiwa na Simba?
Ifike mahali viongozi wa soka wajaribu kuwaheshimu wananchi wengine ili kuepuka lawama, Kailima hawezi kusaidia simba , hii ni kwa sababu michuano ya Caf haisimamiwi na Tume ya Uchaguzi, hatoweza kupora ushindi , kumteua mtu huyu ni sawa na kujitafutia laana
Muanze kwanza na aliyemteua, ili tuone kama kweli huo uwezo mnao.Tutahakikisha kailima anang'oka kwa udi na uvumba, huyu ni chukizo kwa Mungu, hatutakuwa na kolabo na watu wa nmna hii, Simba haiwezi kubeba wasiobebeka, siku utasikia Dr Mahera Mwenyekiti wa Simba
Lazima Mamluki wapingwe kwa nguvu zote
Katiba yenu inasemaje kuhusu majukumu ya muwekezaji na anawajibishwaje kama Ndiyo final say yaani mwenye kauli ya mwisho Ndiyo basi tenaMimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba
Kailima ni mtu asiyeaminika na amewahi kutumika mara kadhaa na ccm kwenye masuala ya Uchaguzi na kuchangia kuvuruga amani, hakuna asiyelijua hili.
Mtu kama huyu anawezaje kuaminiwa na Simba?
Ifike mahali viongozi wa soka wajaribu kuwaheshimu wananchi wengine ili kuepuka lawama, Kailima hawezi kusaidia simba , hii ni kwa sababu michuano ya Caf haisimamiwi na Tume ya Uchaguzi, hatoweza kupora ushindi , kumteua mtu huyu ni sawa na kujitafutia laana
Nimeimiss matango poliKatiba ya Simba Ina vipengele vinavyotaka wanachama wawe waadilifu ingawa sikumbuki ni ibara gani.
Ila niliwaona Manara wakati yupo Simba , Rage, Hasanoo wakudunda labda hakuna aliyelalamika. Pia kassim Dewji alidanganya kuhusu ujenzi wa ghorofa akadai Lina msingi wa ghorofa saba kumbe tatu na pia aliuza sehemu ya jengo la Simba kwa mhindi mwenzake.
Jikite kwenye madaKamanda umeona umpinge huyo Kailima, kwa sababu tu ya itikadi zenu za kisiasa!! Mbona hukumpinga Manzoki siku ile ya uchaguzi wenu?
Au unaweza kuniambia hapa alikuja siku ile kama mgeni mwalikwa, meneja wa kampeni wa Mangungu, mshereheshaji, au!!