mtotomtamuu JF-Expert Member Joined Dec 4, 2016 Posts 602 Reaction score 1,459 Jun 25, 2020 #1 Kuna biashara nataka kufanya naombeni mnielekeze njia za malipo kwa watu walio nje katika nchi nilizotaja, nawezaje pokea malipo kutoka kwao, njia zipi nitumie, kuuliza si ujinga.
Kuna biashara nataka kufanya naombeni mnielekeze njia za malipo kwa watu walio nje katika nchi nilizotaja, nawezaje pokea malipo kutoka kwao, njia zipi nitumie, kuuliza si ujinga.
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Jun 25, 2020 #2 Money mama (Airtel wanayo) Western Union Money gram
Kitandu Nkoru JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 885 Reaction score 973 Jun 25, 2020 #3 Upo wapi?
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Jun 25, 2020 #4 Chukua tahadhari ya ma scammer