Nawezaje kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka Rwanda

Nawezaje kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka Rwanda

Isike Moses

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
2,789
Reaction score
4,245
Salaam wana jamvi
Asubuhi hii nilitakiwa kutumiwa pesa kwa njia ya simu (Mpesa) ila imeshindikana. Watoa huduma wa Rwanda wamesema kuna mambo hayapo sawa na wanasubiri mashauriano katika ya viongozi wakuu wa nchi zote mbili (Tanzania na Rwanda). Huduma hiyo wanaweza kufanya kwa kutuma Uganda, Kenya na Congo tu.

Msaada tafadhari.
 
Back
Top Bottom