Salaam wana jamvi
Asubuhi hii nilitakiwa kutumiwa pesa kwa njia ya simu (Mpesa) ila imeshindikana. Watoa huduma wa Rwanda wamesema kuna mambo hayapo sawa na wanasubiri mashauriano katika ya viongozi wakuu wa nchi zote mbili (Tanzania na Rwanda). Huduma hiyo wanaweza kufanya kwa kutuma Uganda, Kenya na Congo tu.
Msaada tafadhari.