Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nimemwelewa vizuri yamezidi ukubwa!Mama yangu mdogo alishauriwa na daktari wake apunguze kwasababu yalikua yanamsababishia maumivu ya mgongo.Kila kitu kikizidi ni tatizo kwahiyo dada kama sio kwaajili ya muonekano tu..yani yanakusababishia maumivu fanya mpango ufanyiwe upasuaji.Sijui kama kuna njia nyingine ya kupunguza!kwanza kubaliana na umbo la ukubwa wa matiti yako, na uyapende.wacha kbs mawazo ya kupunguza kwani wenzako wanayatafuta hayo makubwa.
Kama nimemwelewa vizuri yamezidi ukubwa!Mama yangu mdogo alishauriwa na daktari wake apunguze kwasababu yalikua yanamsababishia maumivu ya mgongo.Kila kitu kikizidi ni tatizo kwahiyo dada kama sio kwaajili ya muonekano tu..yani yanakusababishia maumivu fanya mpango ufanyiwe upasuaji.Sijui kama kuna njia nyingine ya kupunguza!
yani mmeo ameyapenda ndo akakuoa, afu we unataka uyakate!!?
JF Doctor,
nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa kuwa yananikosesha raha