Nawezaje kusimamisha ulipaji wa kodi ya biashara maana haiendi vizuri?

ukifanya hivyo TRA wanajua bado unaendelea na biashara, na kwa mantiki hiyo kodi inaendelea kuhesabiwa ikiwa ni pamoja na penalty ya kuchelewesha kulipa kwa muda ambao utakua umefunga hiyo biashara yako!!!
kwahiyo ni vyema kushughulikia ujue wamekubali request yako ya kufunga biashara vinginevyo labda kama hutokuja kufanya biashara tena maishani nchini!!!
Funga sepa watabaki na makaratasi mwisho watachana.
 
Just vanish off the radar! Watakupata wapi? Ukirudi kwenye gem tumia TIN ya mamsap... Mpaka uki recover then utarudi kwenye TIN yako...
 
Just vanish off the radar! Watakupata wapi? Ukirudi kwenye gem tumia TIN ya mamsap... Mpaka uki recover then utarudi kwenye TIN yako...
usimshauri hivyo system ya sasaiv atakamatika tu kama c leo hata kesho.
Kama ujuavyo mwaka wa fedha wa serekali huanza mwezi july to juni. na pia kodi ya mapato imegawa nyika mara4, ndio maana kwe zile karatasi zao unakuta wanaandika ni instalment ya ngapi. so ww ndugu angalia biashara yako umefunga mwezi gani inamaana kuna kakodi cha nyuma au cha potionn hiyo unadaiwa, na kiukweli kulipa ni lazima, endapo utaacha au utaendelea kuvuta mda, itaendelea kupanda plus na penaly.

therefore kwa ushauri nenda ukalipe then unaandika barua mbili za kufunga business uhakikishe umegongewa muhuri. then ur free
 
Sema ni biashara gani ulikuwa unafanaya., halafu. Kama unauza sema maana wakununua hawakosekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…