Kama hukuomba course yoyote katika hicho chuo na bado kikakuchagua, malalamiko yako yapeleke TCU, ndio wenye uwezo kukutoa kwenye mfumo ili uweze kuomba upya chuo unachotaka.
Uki-apply vyuo zaidi za kimoja mfano vyuo vitano (5) na ukachaguliwa kwenye chuo kimoja tu (vinne vyote vikakutema) haihitaji ku-confirm hapo automatically unakuwa umechaguliwa kujiunga na hicho chuo.