Nawezaje kusoma kozi ya IT, DIT kwa vigezo hivi?

HeBi_BoY

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Naamini mu wazima mwenye taarif zozote kuhusu chuo cha DIT hasa vigezo vya kujiunga na kozi za IT maana nimesoma Arts ila napenda kusoma IT hapo DIT, nna pass 1.3 Alama zangu ni F ya mathe, B ya english na C ya kiswahili.

Yaliyobaki yote D.
 
huezi kuchaguliwa D.I.T ndugu hesabu za hapo hutaziweza kama hesabu za kitoto za O-level zilikushinda D.I.T Siyo mchezo Dogo
 
Ha ha ha... We ss hy matani arts lafu una f y maths unataka DIT,labda uende college z mtaani/vichochoron ,dit wanahtaj d:3,kwa pre-entry au c:3 kwa direct entry masomo n "PCM" Yan phy,chem n math lazma ufaulu vizur ,kw maelezo zaid ingia hapa: DIT Home
 
rudia mwaka tafuta credit. izo perception ondoa ama tafuta certicates nyingine vyuo vya kibiashara kama MOCU. TIA. AIA. CBE HUWA WANACHUKUA KUANZIA D NNE TENA UWE MAKINI KUCHAGUA COZ AMBAZO HAZINA HESABU MAANA HESABU UNA F. YANGU NI AYO!
 
Yaani una F ya math, halafu unafikiria kwenda DIT?. Hata ukipewa Juche la math, nakuhakikishia hutakatiza hata mwaka!. Yale ma differential na ma integration sijui utakatizia wapi!.
 
Haiwezekani ila mkakati wa pili ni kupenyeza rupia ... Kununua elimu
 
Nimeshindwa kupost natafuta hii mashine ya kuchuja maji anayejua inapopatikan anicheck 0757663336
au nielekezen jinsi ya kupost as post
 
Dogo umepotea hapo inaelekea huna malengo kama ulipenda kusomea dit kwa nini ulisoma arts?tena F ya hesabu...tafuta hivyo vyuo vya mjini vi kina amazon college tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…