Nawezaje kusreenshot kwenye app ambayo hairuhusu screenshots?

Wazee habari za kutwaa......
Naomba nisaidiwe shida tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani. Ahsante.
Nakumbuka kipindi hicho nasoma ile app ya notes inaitwa THL waliwekaga hii restriction ila nlikua napiga screenshots kama kawa! Simu yako ina Google Assistant? kama unayo fungua kwanza app unayotaka kuscreenshot then activate google assistant afu iambie "Hey google take a screenshot au type take a screenshot" ita capture ndo mbinu nayotumia tena kwa Google Pixel ni easy sana...

Njia nyingine ni ya ku connect simu yako na computer/Laptop yako hakikisha kwenye simu yako umewezesha USB Debugging kule kwenye developer mode then install Scoop kwenye computer yako ni program ndogo sana ina MB 5 tu https://github.com/Genymobile/scrcpy/releases/download/v2.0/scrcpy-win64-v2.0.zip then ukisha install fungua CMD/Command Promp kisha andika hizi command hapo chini (Hakikisha imeconnect na mtandao PC yako hapa tuna install scrcpy kwa mara ya kwanza ndo maana unaona kama process ni ndefu lakini ni easy sana ukifata maelekezo hata dk 5 haichukui)

haya baada ya kufungua CMD andika hii command [emoji116]

scoop install scrcpy

Hapo Scoop itaanza kuinstall hiyo scrcpy ikimaliza itaandika scrcpy was installed successfully! Funga CMD. Juu huko nmekukumbusha hakikisha simu yako umewezesha USB Debugging kama tayari chukua USB connect simu yako kwenye PC kisha fungua hiyo app yenye restriction unayotaka kuipiga "SCREENSHOT" then fungua CMD kisha type neno moja tu [emoji116]

scrcpy

Click ENTER kwenye keyboard yako hapo PC itachukua screenshot chap na kukuonyesha pale kwenye desktop!! So kila ukitaka kupiga screenshot tumia hii hatua ya mwisho tu basi una connect simu yako na PC unafungua CMD kisha kuandika hiyo command ya scrcpy kwenye CMD kisha click enter.

Hizo njia 2 ndo natumia kwangu mpaka sasa na zinafanya kazi jaribu nawe huenda zikawa msaada na kwako.. Na kama upo rooted na magisk ni rahisi ku capture kupitia Xposed Module kuna module moja inaitwa DisableFlagSecure inasaidia kuondoa hiyo block ya kupiga screenshot...
 
Ila kama unataka uwe unapiga SCREENSHOT taarifa zako za bank au sensitive infos kwenye apps zako za siri kua makini sana una hatarisha usalama wa accounts zako..
 
Umetisha sana mzee...!

✊🏾
 
Back
Top Bottom