Nawezaje kuthibitisha jinsia yangu hapa JF?

Nawezaje kuthibitisha jinsia yangu hapa JF?

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Wakuu kutokana na hulka yangu adimu ndani ya JF ambayo haifanani na wengi wa waliowazoea huko wanakotokea member wengi wa JF wamekuwa waking'ang'ania kunivua nguo ili kuthibitisha jinsia yangu.

Najiuliza ni kwa sababu naandika maturely sana au kwa kuwa nina IQ kubwa kushinda dada zao ndio maana wanadhani mpaka waguse ndipo waamini??

Natakiwa nipost nyeti zangu ndipo mkubali kwamba mimi ni shangazi yenu tena ni Mshangazi wa haja kwelikweli?

Au na nyie nianze kuwaita wanawake kama mnavyoniita mwanaume?
 
Ukiona hii unaielewa vizuri basi na jinsia yako itakuwa imethibitika

1000012742.jpg
 
Usishughulike na wajf....labda Kama unataka kupewa attention....wakikuita dume sema yes,kike sema ndiyo....maana humu uwe kike au kiume wanakuja tu pm...they don't care kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom