Nawezaje kuthibitisha jinsia yangu hapa JF?
Sex na gender ni tofautiKhaaa!!
Mbona wanasema u_nyanya_saji wa kijinsia na sio u_kitunguu_saji wa kijinsi
Sex ni jinsi, sexual intercourse ndiyo ngonoSex ni ngono gender ni jinsia
NIMEZALIWA na jinsi ya kiume. NIMEKUZWA katika jinsia ya kiumeWewe una jinsi au una jinsia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usishughulike na wajf....labda Kama unataka kupewa attention....wakikuita dume sema yes,kike sema ndiyo....maana humu uwe kike au kiume wanakuja tu pm...they don't care kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna unachopoteza kwa kuhisiwa mwanaume humu?