Wakuu nadhan Nina mkosi, Kazi sipati nikipata mbaya, Nikinnua mifugo inakufa, Biashara holaa, Mke Sina,
Kwa mganga nimeenda mara moja lakin nayenyewe bado haijanisaidia.
Hauna mikosi, fanya kazi kwa bidii, ongeza jitihada+ubunifu kuwa wa tofauti acha kufanya mambo kwa mkumbo na mazoea, achana na ushirikina utaibiwa uje ulilie humu.