super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 172
Wakati ukiwa na muda wa kutosha pitia website kadhaa wa kadhaa zinazoweza kutoa grants za miradi mbalimbali inayoweza kunufaisha jamii....heshima kwenu wakuu...wakuu ninawezaje kuitumia laptop kama chanzo cha kuniongezea kipato..maana huwa ninakua na free time ambayo naitumia kufanya mambo yasiyo na tija yoyote kwangu....naombeni kwa anaejua namna yoyote ambayo naweza kufanikisha hili' tujuzane..
mkuu hizo taasisi nitajieWakati ukiwa na muda wa kutosha pitia website kadhaa wa kadhaa zinazoweza kutoa grants za miradi mbalimbali inayoweza kunufaisha jamii....
Tumia laptop yako kudownload na kuandika proposal za miradi mbalimbali unayodhani itakusaidia wewe na jamii inayokuzunguka. kuna taasisi nyingi mitandaoni hutoa grants kuwezeza miradi ya namna hiyo.
ungesema aina ya miradi unayoitegemea kuiandikia ingekuwa vizuri zaidi... kwa kuanzia tazama hii ya hapa hapa nyumbani.mkuu hizo taasisi nitajie
japo moja tu..nami nitaifuayilia
mkuu sio kwamba sina cha kufanya bali nataka ...ila nataka niitumie kama part timeTrump&Magu wanatafuta watu kama emb watafute haraka na waambie huna kabisa wala hujui cha kufanya. Ukiona ngumu hiyo tafuta wimbo wa Kala Jeremiah anakwambia uza smartphone... kwenye smartphone weka laptom uendane nae
VIPI MKUU WE NI MMOJA WA WADAU HAO?ungesema aina ya miradi unayoitegemea kuiandikia ingekuwa vizuri zaidi... kwa kuanzia tazama hii ya hapa hapa nyumbani.
Call for Project Proposals - 2016/2017 | Tanzania Forest Fund (TFF)
ahsante sana mkuu maana bundle nj la kutosha muda woteunabundle download photoshop angalia video za tutorial youtube jinsi ya kuedit picha kutengeneza matangazo practice kuwa competent hela ipo mtaani inakusubiri.
Hapana , ila mimi ni mmoja wa watumiaji wazuri wa link za proposal.VIPI MKUU WE NI MMOJA WA WADAU HAO?
iko poa nilifikiri labda wewe ni mnufaika wa hiyo fund tupeane uzoefu mkuuHapana , ila mimi ni mmoja wa watumiaji wazuri wa link za proposal.
Vipi umepata tatizo na hiyo link? naweza kukusaidia tafadhali
kiaje mkuu?Unaweza ukaifundishia tuition...