Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni

Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali.

Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana na router kubwa, zimekataa

kwenye simu inagoma
 
Inabidi ujaribu tu, inategemea na wenye mtandao walivyoamua.
 
Kwa airtel niliwai jaribu nikafeli..

Nilitoa line ya router yenye unlimited nikaweka kwenye simu. Ikagoma
 
Wamezilink na IMEI ya Router! So ukiweka line kwenye device nyingine , Network inakataa.Unaweza enda kwenye ofisi zao ukawaomba walink your new Device na hiyo line then hapo utaweza tumia.
 
Haya ma router yamekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni
Hii Device inasambaza Internet kwa watu 10 kwa wakati mmoja na betri yake inakaa up to 8 hrs.Ina speed kama haya mabox yao yenye power bank.-Unaweza enda ofisini kwao ukawaomba line yako waiunganishe na IMEI ya another Device.. uendelee kula raha....
 
Attachments

  • IMG_9234.png
    IMG_9234.png
    51.1 KB · Views: 9
Wamezilink na IMEI ya Router! So ukiweka line kwenye device nyingine , Network inakataa.Unaweza enda kwenye ofisi zao ukawaomba walink your new Device na hiyo line then hapo utaweza tumia.

sizani kama ni imei maana pia nilijaribu Line hii hii yenye unlimited ya airtel niliitoa kwenye router yangu. Na nikaweka kwenye router ya airtel ya mtu mwingine. Ilikubali bila matatizo.

Shida ni ukiweka kwenye simu tu ndio inagoma
 
Wametumia Emei range... hizi Gardgets zina Emei zenye unique serial Numbers.... unakuta let say zinaazia na 12867.... Simu zinaanzia 67024......So system ina kubali range ya hizo EMEI no.
 
Hapo nimekuelewa.. nahisi upo sahihi
 
Wametumia Emei range... hizi Gardgets zina Emei zenye unique serial Numbers.... unakuta let say zinaazia na 12867.... Simu zinaanzia 67024......So system ina kubali range ya hizo EMEI no.
Basi aliyetoa hio option ya kuhamisha IMEI atakua sahihi, ni Software zipi zinatumika mkuu
 
Hii Device inasambaza Internet kwa watu 10 kwa wakati mmoja na betri yake inakaa up to 8 hrs.Ina speed kama haya mabox yao yenye power bank.-Unaweza enda ofisini kwao ukawaomba line yako waiunganishe na IMEI ya another Device.. uendelee kula raha....
Naipata kwa bei gani hio mbanga
 
Kubadili IMEI ni kinyume na sheria so lijue hilo.
 
Gen Z naona mnataka kuharibu biashara za mitandao. Router zao mziue sokoni 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom