Hamishia IMEI za router kwenye simu Yako and you are ready to go.Haya ma router yamekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni
Wamezilink na IMEI ya Router! So ukiweka line kwenye device nyingine , Network inakataa.Unaweza enda kwenye ofisi zao ukawaomba walink your new Device na hiyo line then hapo utaweza tumia.Kwa airtel niliwai jaribu nikafeli..
Nilitoa line ya router yenye unlimited nikaweka kwenye simu. Ikagoma
Hii Device inasambaza Internet kwa watu 10 kwa wakati mmoja na betri yake inakaa up to 8 hrs.Ina speed kama haya mabox yao yenye power bank.-Unaweza enda ofisini kwao ukawaomba line yako waiunganishe na IMEI ya another Device.. uendelee kula raha....Haya ma router yamekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni
Wamezilink na IMEI ya Router! So ukiweka line kwenye device nyingine , Network inakataa.Unaweza enda kwenye ofisi zao ukawaomba walink your new Device na hiyo line then hapo utaweza tumia.
Na hii unahamishaje mkuuHamishia IMEI za router kwenye simu Yako and you are ready to go.
Kuna special IMEI writer Software- unalink na Computer via USB cable . Thern unaweka EMEI husika ndani ya Simu- ila ni kosa KisheriaNa hii unahamishaje mkuu
Wametumia Emei range... hizi Gardgets zina Emei zenye unique serial Numbers.... unakuta let say zinaazia na 12867.... Simu zinaanzia 67024......So system ina kubali range ya hizo EMEI no.
Basi aliyetoa hio option ya kuhamisha IMEI atakua sahihi, ni Software zipi zinatumika mkuuWametumia Emei range... hizi Gardgets zina Emei zenye unique serial Numbers.... unakuta let say zinaazia na 12867.... Simu zinaanzia 67024......So system ina kubali range ya hizo EMEI no.
Naipata kwa bei gani hio mbangaHii Device inasambaza Internet kwa watu 10 kwa wakati mmoja na betri yake inakaa up to 8 hrs.Ina speed kama haya mabox yao yenye power bank.-Unaweza enda ofisini kwao ukawaomba line yako waiunganishe na IMEI ya another Device.. uendelee kula raha....