sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia.
Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock, kuuza, n.k. ila mara kadhaa anachanganya mambo,
Mizigo huwa naitoa huko stoo naipeleka kwenye maduka yangu mawili kwajili ya kuuza (kuna muda nakopesha).
Mizigo kuna muda nairudisha stoo kutoka dukani,
Baadhi ya mizigo ikifika imeharibika huwa nairudisha nilikonunulia (returns)
Nataka system ambayo itakuwa ina account shughuli zote za stoo na maduka pale mizigo inapotoka stoo kwenda madukani.
Excel nishaitumia sana ni kazi nzito, yani stoo na duka inabidi ziwe na sheets zake, uanze kuingiza kitu kimoja kimoja, inachosha!! nahitaji mfumo wa database