Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wakuu, nina TV yangu nch 32 ya kampuni ya Mysol ambayo ina uwezo wa kupokea camcard ya king'amuzi chochote bila shida.
Sasa changamoto ninayoipata ni kutokuwa na casting option ili niweze kuunganisha na simu yangu moja kwa moja, maana Nina link zinazo niwezesha kustream mechi za ligi mbalimbali kama EPL na laliga ila nashindwa kuunganisha na TV yangu ili nifaidi uhondo wa mechi hizo.
Wataalam humu, nisaidieni namna ya kufanya hapa, kwani Mimi sio Mtaalam sana wa mambo haya nimekariri tu kuwa lazima TV yangu iwe na casting option.