Nawezaje kuuza bidhaa zangu kwenye siku ya nanenane?

Nawezaje kuuza bidhaa zangu kwenye siku ya nanenane?

commernder

Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
34
Reaction score
19
Habarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
 
Back
Top Bottom