Kwani ulizinunua wapi? Anyway nenda pale ppf tower posta kuna broker yupo pale simkumbuki vizuri atakusaidia. Ila sijui kama hiyo benki hisa zipo active. Unaweza shangaa zikapata mteja mwezi wa nane.. Hatari sana masoko yetu ya fedha unaweza pata stress..