Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Mwalimu Chivayo keshaaga, kwa hio Tuition zimefungwa!Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi.
Nawezaje kuanza kuwaleta mabeberu kuchukua rasilimali zenu ili mimi nile chajuu?
Kuwa Tu Boss ya Dp inatosha Kula mema ya rasilimali ya taifa🤔Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi.
Nawezaje kuanza kuwaleta mabeberu kuchukua rasilimali zenu ili mimi nile chajuu?
Rasilimali bado zipo nyingi😹Wewe si tayari una bandari zetu? Unataka nini tena?
Wewe unataka udalalie kwenye ipi kati ya hizo nyingi?Rasilimali bado zipo nyingi😹
Watu, nawauza jumla jumla.Wewe unataka udalalie kwenye ipi kati ya hizo nyingi?
Hii product utapata wateja?Watu, nawauza jumla jumla.
Hawawezi kukosekana.Hii product utapata wateja?