Nawezaje kuwa Kitengo?

Bonjuor

Wakuu Sina mengi ya kuuliza ila unaweza ku connect heading na picha,

Nawezaje kuwa miongoni mwao..
View attachment 2628443View attachment 2628444
usiwaone na hivyo visuti walivyovaa ukadhani wanafurahia maisha. wengi wao wanatamani kutoka lakini hawawezi walishapigwa vitasa hawana uhuru maana kutoka haiwezekani. Tafuta shughuli tu ya kukuingizia kipato ishi maisha huru mazuri na matamu.
 
Visuti uchwara hivyo ndivo vinakufanya utamati vitu vya hovyo?kama ni suti hata wewe unaweza kushona tu ukapendeza vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…