Nawezaje kuwa Kitengo?

Achana na hizo kazi..Tena ukiwa offered kimbiaaa mbio nyingi ujikute uko ushirombo uko
 
kila kazi ina miiko yake na changamoto zake, usimkatishe tamaa. hizi kazi zingine ni uzalendo tu sio kwenda kupata raha. mimi hata bure nikiambiwa napiga.
 
Kila kazi huwa inachangamoto zake, ni wewe kujipima tu. Anzia huko wilayani, watafute.
 
Baadhi ya Vigezo vya lazima

1. At least uwe na 26 kushuka chini
2. Uwe na background ya jeshi. Lbd ulipitia suma ulivyo maliza form 6 au au ulienda jeshini kujitolea kupata mafunzo

TISS kuna aina tofauti tofauti vya unit. mfano nichukulie hicho amabacho ume ki post.

Hapa kwetu kinaitwa PPU (Presidential Protection Unit ) au wengi wamezoea PSU (Presidential Security Unit) hiki ma mahususi wa ajili ya usalama wa raisi kaama jina lake linavyo sadifu.

Kuna njia kama 3 za zinazotumiwa ku recruit watu wa PPU

1. JWTZ / JKT

labda tusema PPU wanataka staff wapya, mostly wanawachukua selected candidate walio pendekezwa nakamanda, wanapitia kwenye mchujo alafu wanakua TISS chini ya PPU
 
Mimi nilipitia jkt mujibu wa sheria

Pia niliwahi kuwa Suma jkt

Ila umri ni 28
 
Kuna wanangu kama wa tatu, tulikuwa nao Suma jkt, sijui ilikuwaje aisee walipata bahati ya kuingia huko .

Walipiga kozi ya MG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…