Mbayo wa Giika
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 205
- 107
Zinatolewa lini na utaratibu gani unafatwa ili kuipata? Nimejaribu kuingia kuna sehemu wameelekeza chagua course ila ukibonyeza unarudishwa juu.Wana kozi zao pale TFF.
Ila asiwe shabiki wa bwawani akatuharibia mpira.
Zinatolewa lini na utaratibu gani unafatwa ili kuipata? Nimejaribu kuingia kuna sehemu wameelekeza chagua course ila ukibonyeza unarudishwa juu.
Ahsante! Kwa hiyo wote wenye uhitaji na hizi course kutoka kila kona ya nchi wanatakiwa wafike TFF?Fika tu pale karume.ofisini kwao
Ahsante! Kwa hiyo wote wenye uhitaji na hizi course kutoka kila kona ya nchi wanatakiwa wafike TFF?
Nenda kaweke order yako mapema chama cha mpira mkoa/wilaya hua kozi zinakuja mara mbili kwa mwakanami pia nawasubiri wataalamu watupe muongozo
pia refa wa ligi kuu tanzania analipwa kiasi gani
Fika kwenye chama chako cha soka ngazi ya wilaya, utapata majibu mazuri zaidi
Nenda kaweke order yako mapema chama cha mpira mkoa/wilaya hua kozi zinakuja mara mbili kwa mwaka
Malipo
Refa wa kati ligi kuu anakula 400,000
4th official anachukua 350,000
Lensmen wanachukua 250 ,000
FDl na SDL
Refa wa kati 300,000
4th official ni 250,000
Lensmen ni 180,000
Malipo ni kwa mechi ila unakopwa kwa muda wa miezi 3
Samahani ada za mafunzo ni kiasi gani? Tusaidie ili huyu mwanafunzi apate mwanga kabla ya kwenda huko kwenye chama cha soka maana yupo kijijini.
Samahani, unaweza kujua gharama za mafunzo ili tumsaidie huyu mhitimu mtarajiwa?Nenda kaweke order yako mapema chama cha mpira mkoa/wilaya hua kozi zinakuja mara mbili kwa mwaka
Malipo
Refa wa kati ligi kuu anakula 400,000
4th official anachukua 350,000
Lensmen wanachukua 250 ,000
FDl na SDL
Refa wa kati 300,000
4th official ni 250,000
Lensmen ni 180,000
Malipo ni kwa mechi ila unakopwa kwa muda wa miezi 3
Samahani, unaweza kujua gharama za mafunzo ili tumsaidie huyu mhitimu mtarajiwa?