Hapa ndipo penye suluhisho.Inabidi ujue chanzo cha tatizo lako,(underlying cause) then ndo utafute suluhisho. Jiulize mwenyewe hio hali imeanza lini, unaweza Pata chanzo cha tatizo lako.
Pia unaweza waona psychologist au viongozi wa kiimani wakakusaidia.
Naomba hizo movie basiTafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.
Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.
Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.
Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?
Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?
Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Hata mimi nilitaka kujua haya kwanza kabla sijashauri kituUna kazi ? Umri wako ? Unaishi kwako (umepanga) au bado uko nyumban ? Nijibu nitakushauri Jambo
Kwa kuexperience kwako hii hali hujajua tu bado unaweza ikawa inasababishwa na nini?Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.
Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.
Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.
Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?
Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?
Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Asante.Inabidi ujue chanzo cha tatizo lako,(underlying cause) then ndo utafute suluhisho. Jiulize mwenyewe hio hali imeanza lini, unaweza Pata chanzo cha tatizo lako.
Pia unaweza waona psychologist au viongozi wa kiimani wakakusaidia.
Nishakuelewa ugonjwa wako.Nimekuwa myonge na nafsi Yangu inasononeko.
Sikosi chakula walapakulala...Ila nakosa furaha moyoni, naona uzito rohoni mwangu, nakosa furaha kabisa.
Naona mambo Yangu nashindwa yabeba.
Najitahidi kusali na kukumbuka maandiko ya Mungu, napata afueni kwa muda.
Japo najipa moyo kuwa kwenye uzito Kuna wepesi...Naamini nothing last forever not even our troubles.
Kuna muda nikitembea barabarani nikiona Watu wanacheka nahisi wananicheka Mimi...
Huu Uzi hauhusu mahusiano ya kimapenzi kabisa.
Sinywi pombe,sivuti Bangi Wala sigara.
Nifanyaje kupunguza Hali ya sononeko moyoni mwangu.