Nawezaje kuwa Wakala wa Azam ice cream point?

Nasser Kiwale

New Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Jamani naombeni mnisaidie kwa wenye uelewa juu ya jinsi ya kuwa agent wa azam ice cream[emoji120].

Au kama kuna contact yoyote ya expert please mnisaidie.
 
kwa nini usoende AZAM ICREAM POINT UKAONA NA afisa masoko ukanueleza adhima yako very simple tu ,wanakuja kuliona eneo , wanakuletea na mafriji yao na mzigo plus matangazo kwa siku ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…