GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hapana mkuu. Nipo Mwanza.Upo Dar?
Okay. Basi jaribu kuonana na wataalamu wa garden ata kama ni jamaa local. Wanakuaga wanauza na maua kwenye zile pots watakusaidia.Hapana mkuu. Nipo Mwanza.
Shukran sana mkuu🙏Okay. Basi jaribu kuonana na wataalamu wa garden ata kama ni jamaa local. Wanakuaga wanauza na maua kwenye zile pots watakusaidia.
Mi niliwatumia watu wa gardeni walitoa msaada mkubwa ingawa changamoto zetu zipo tofauti.
Inaitwaje mkuu na picha kama unayoKuna mimea fulani ukipanda mizizi yake ni repellant ya mchwa ila siku hizi watu wamekuwa waharibifu wa mazingira inapotea sana, ilikuwa inapatikana ukanda wa ubenani kuelekea usangu
Ukipata mtu aliyepo mitaa ya Ilembula Njombe akawauliza wenyeji wanaijua bad luck niliondoka huko kitamboInaitwaje mkuu na picha kama unayo
Jaribu kutrace kama kuna kichuguu karibu au sehemu wanapotokea anzia mashambulizi hapo maana ndio malkia yupo kula au kushambulia garden yako ni kwenye utafutaji tu wa chakula utamwaga dawa ikupungua nguvu watarudi tena kushambulia.Jitihada kadhaa zimeshafanyika bila mafanikio.
Zilipoanza kutafuna nyasi za "garden", ilisemekana kukimwagiliziwa kila siku hilo tatizo litaisha. Hilo limekuwa likifanyika tokea mwaka Jana lakini halijasaidia.
Nilipoenda duka la pembejeo, nilipewa dawa inayoonekana hapo chini. Imeshapuliziwa zaidi ya mara moja lakini mchwa bado wameendelea kuzifaidi nyasi ambazo hawajzitolea jasho.
Naomba wajuzi mliomo humu mnipe mbinu ya kuweza kuwatokomeza hao viumbe bila kung'oa nyasi.
Asanteni.
View attachment 2901755View attachment 2901756View attachment 2901757
Ngoja niulizeUkipata mtu aliyepo mitaa ya Ilembula Njombe akawauliza wenyeji wanaijua bad luck niliondoka huko kitambo
Nimejaribu kutafuta picha yake naukosa ila mizizi yake ni michungu balaa wengine huitumia kama dawa ya typhoid
Mkuu hizi chemical kama synthetic fertilizer yameua udogo na viambatanisho vyake kama microbes,zamani tulikuwa hatuhitaji dawa za kunyunyizia wadudu,sasa hakuna kinga ni chemical kutokea round up,mbegu yenyewe ina machemical,mbolea za kupandia nazo machemical,maji yana machemical,viatilifu ni chemical,nawe ukila zao lake ni chemicals ndio sababu maradhi hayatuachi salama.Kuna mimea fulani ukipanda mizizi yake ni repellant ya mchwa ila siku hizi watu wamekuwa waharibifu wa mazingira inapotea sana, ilikuwa inapatikana ukanda wa ubenani kuelekea usangu