Nawezaje kuwapata wauzaji wa tiles aina ya Twyford

Daliso

Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
46
Reaction score
30
Habari wana jamvi,

Samahani naomba kuuliza kama ninaweza kupata wauzaji wa tiles aina ya Twyford kwa eneo la Chanika kwa bei ya jumla.

Maana mimi ninaishi Msongola na kwenda Kariakoo barabara zetu hazipitiki hivyo option nzuri ni ya Chanika. Kama muuzaji yupo humu au unamjua tafadhari naomba namba yake
 
Umeshata supplier au bado?
 
Back
Top Bottom