Nawezaje kuweka hela kwenye Benki nikiwa nje ya nchi?

Vf-successfully

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Posts
253
Reaction score
166
Habari zenu Waungwana.

Naomba jinsi ya kufahamishwa nawezaje kuweka pesa kwenye bank account ya Tanzania nikiwa overseas kwa lengo la kuendeleza biashara ya forex asanteni
 
Habari zenu Waungwana.

Naomba jinsi ya kufahamishwa nawezaje kuweka pesa kwenye bank account ya Tanzania nikiwa overseas kwa lengo la kuendeleza biashara ya forex asanteni
Upo overseas nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…