Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

Ndeluningo

Member
Joined
Sep 17, 2023
Posts
6
Reaction score
8
Habari ndugu zangu,

Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea.

Kuna iprion ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya.

Msaada tafadhali
 
Habari ndugu zangu, nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea.

Kuna iprion ya Mrekani na nchi nyingine za ulaya.

Msaada tafadhali
Nenda YouTube kula tutorial za kutosha juu ya uwekaji foreign account kwenye Amazon KDP.

Utatakiwa kuwa na foreign bank accout. Jifunze jinsi ya kutengeneza Payoneer account au Grey account.

Hizo account sio rahisi kuwa nazo, unahitani tutorial hasa za Wanaijeria.
Nimepata post yake very late, sijui kama nimesaidia.
 
Grey account, payooneer, wise etc zitamfaa... utachagua us bank account ambayo itakuwa virtual account.... so hyo ndo utakuwa unaitumia kudraw pesa zako then zikishaingia huko utakuwa unazitoa unaziweka kwenye bank account yako.

Altenatively, unaweza chagua option ya kuwa unatumiwa cheque
 
Back
Top Bottom