Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea.
Kuna iprion ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya.
Habari ndugu zangu, nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea.
Grey account, payooneer, wise etc zitamfaa... utachagua us bank account ambayo itakuwa virtual account.... so hyo ndo utakuwa unaitumia kudraw pesa zako then zikishaingia huko utakuwa unazitoa unaziweka kwenye bank account yako.
Altenatively, unaweza chagua option ya kuwa unatumiwa cheque