Mie sio mtaalam,ina kwa uelewa wangu.
Jibu ni fupi.Haiwezekani.
La sivyo uweke kemiko fulani hivi ngoja nikuulize kwa shemji yako maana yeye ndio anajua mambo hayo ya Ice creams na chosticks,maana alienda kusomea kwenye kozi za ujasiriamali.
Maana tatizo lake ni kwamba itapoteza Ladha halisi,maana kama utaiweka Maziwa au vanilla basi baada ya kama wiki mbili basi ita change,na kupoteza Ladha ni sawa na kupoteza Ubora wake.
La pili,sijaelewa kama unamaana ya kufanya kama vile anavyohifadhi AZAM chockstik.
Kama ni kwa kutumia Mashine zetu za kawaida za kutengeneza Chockstick ni kwamba utahitaji mashine maalum ya kupack.Kwa tafsiri fupu inakuwa ni kiwanda kamili.Hii ni ngum sana na ni mamilioni ya pesa.Maana itabidi uwe na Ice rooms za kutosha na Gari Maalum zenye Body lenye kuhifadhi Barafu ambalo ni ghali sana.
Wengine watakuja.