Wengine tunaponea kwenye comment hiiUnatumia Android au?
Nenda Settings, Kisha Apps, Chagua iyo App, Bonyeza Permission, Hafu Bonyeza Permission unayotaka uikataze (mfano contacts), hafu Not Allow
Unatumia Android au?
Nenda Settings, Kisha Apps, Chagua iyo App, Bonyeza Permission, Hafu Bonyeza Permission unayotaka uikataze (mfano contacts), hafu Not Allow
Hapana access imekata iyo backup hawana memory ya mchezo ivo.Je Kwa kufanya hivi kule kwenye system zao za bank watakuwa hawana access kabisa? Au Ile siku nime allow ilitaka backup
Imeisha hiyo asipoelewa apate mbokoUnatumia Android au?
Nenda Settings, Kisha Apps, Chagua iyo App, Bonyeza Permission, Hafu Bonyeza Permission unayotaka uikataze (mfano contacts), hafu Not Allow
πππ€£π€£Sas kama hiyo bank ndio umeamini ikutunzie visent vyako unaogopa nini isichungulie namba zako.
Hapana access imekata iyo backup hawana memory ya mchezo ivo.
Mkuu, ni App ya Bank au hawa online Mikopo?
Sidhani kama waki access hivyo vitu kuna shida. Je ulipitia privacy policy kabla hujadownload?
Hao wa online loan unakua na simu ina contacts za watu ata wewe uwajui.Crdb app, me bwana ni muoga Sana nikiona app inasema unataka access ya contact na picture, sasa nataka SIM banking na app inasema hivyo that's why nimeuliza
Hawa online mikopo nadhani hata ukidelete app Yao bado wanaweza kuona contact zako π wale wachina hatari Sana