Mm sitaki io mm nataka kwa computer nzoma mfano mtu akija akotaka kusave music kwenue my documenys ashindweWeka setting kwenye browser ili uweze kuamua file linaenda folder ipi wakati unadownload
Wazo lako zuri sn lkn mm nataka niweke restriction yaan iwe mtu ukiingia tu kwenue my document ukitaka kusave music cjui video au mafole mengine au i create mafile mengine yaan iwe unacteaye.transfer cjui save unapigwa ban apo apo kwamba you can not save file like these to this folderOption ambayo ningeifikiria kwanza, ni kutengeneza script na kuiweka kwenye startup. Script hiyo itakuwa ina delete all files with certain extension kutoka kwenye folder fulani kila unapowasha computer.