TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Wakuu habari za muda huu,
Kuna kaofisi nategemea kuanzisha hivi karibuni ambapo nategemea kuajiri vijana nitakaoweza kuwalipa cash kwa mwezi, sasa ninapokwama ni kwamba hiyo ofisi itakuwa na mashine za kazi ambazo hao vijana watakuwa wanatumia kuingia nazo mtaani kufanya mauzo na kisha jioni kurudisha ofisini. Wasiwasi wangu je vipi kuhusu mtu kuondoka na mashine hizo moja kwa moja asirudi tena.
Ikifikia hapo ndio huwa nakwama kuanzisha hiyo kampuni. Je, nitawezaje kujihakikishia usalama wa mashine zangu? Au wafanyakazi waache vyeti vyao original ofisini?
Ushauri wenu ndugu, pia mtanisamehe kwa kuwa sitazitaja hizo mashine kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu.