Mimi ni muajiliwa na nina miaka kazaa kazini napenda sana kwenda jkt nifanyeje?
umri upi ni mwisho kwa wakujitolea?
shahada mwisho 34kwa wenye elimu kuanzia darasa la 7 hadi fom6
Ni miaka 18 mwisho miaka 23
Kwa wenye shahada na sta shahada mwisho miaka 26 kama sijakosea..
Bado wanachukua chinichin ingawa kuna watu walishapangiwa kambi,, wame extend mda wa kuripoti hadi mwez wa 9 kwa wale wa kujitolea so anaweze akafuatilia na akapata ila awe na 1M mkonon
Bado wanachukua chinichin ingawa kuna watu walishapangiwa kambi,, wame extend mda wa kuripoti hadi mwez wa 9 kwa wale wa kujitolea so anaweze akafuatilia na akapata ila awe na 1M mkonon
Wako after money sana kama huna ndugu yoyote uko juu ujue lazima uhonge bila ya hivo nafasi hupatiHahaaa 1M? mtaji wa mjasiliamali kabisaaa, bola si nikomae na ajira yangu selikalini. nilitaka nikajifunze uzalendo tu ili tujenge nchi tena nihonge? teh teh teh . . . . . .
Mimi ni muajiriwa na nina miaka kadhaa kazini napenda sana kwenda JKT nifanyeje?