Nawezaje mnunulia mke wangu chupi za eBay?

Nawezaje mnunulia mke wangu chupi za eBay?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Mke wangu nampa thamani ya juu kama gari ya Hummer na ningependa apendeze nje ndani. Sasa sipendi avae hizi chupi za Mwenge za buku tano, tano na ninataka nimu upgrade kwa kumnunulia chupi za kutoka Ulaya kupitia mtandao wa eBay.

Msaada wenu tafadhali...
 
Ingia pray store download ya ebay na PayPal alafu fungua account ukifungua ikiwa active unaletewa message
 
Mkuu Kodofan unaweza kuingia ebay ukapata za quality ya chini. Cha msingi nenda WoolWorth mkuu utapata thamani ya pesa yako. Cotton Orijinali, nzuri kabisa. Unakuwa umesev muda wa kusubiri na pia unaweza kwenda nae akapata kuchagua mwenyewe vizuri.
 
Good!
I never thought of that b4.
 
Back
Top Bottom